Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Pages

Karani wa Fedha (Accounts Clerk) x2


Job Vacancy : Karani wa Fedha (Accounts Clerk) x2
Location : Morogoro
Position Type : Full Time
Organization Type / Company: Morogoro Teachers SACCOS

Application Deadline: 28 February 2015.

KARANI WA FEDHA (ACCOUNTS CLERK) X2:

MAELEZO KWA MWOMBAJI:

SIFA ZA MWOMBAJI
Awe Mtanzania mwenye umri kuanzia 25-45
Awe na Elimu ya Uhasibu katika ngazi ya Diploma na kuendelea na aliyefaulu vema masomo ya hisabati na kiingereza kwa kitato cha nne.
Mweny elimu ya Ushirika kutoka Chuo kikuu cha Ushirika moshi atapewa kipaumbele
Awe mchapa kazi na mwenye kujituma na kujifuza kwa haraka.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yaandikwe kwa mkono na yatumwe ikiwa ni pamona na wasifu binafsi (CV), vivuli vya vyeti i) Cheti cha kuzaliwa, ii) Vyeti vya taaluma iii) PICHA TATU PASSPORT SIZE ZA RANGI
Yatumwe kwa:
MENEJA
MOROGORO AND MVOMERO TEACHERS SACCOS
P.O.BOX 2071
MOROGORO

No comments:

Post a Comment

 

Select Jobs By Date

RECENT POSTS

My Blogger TricksAll Blogger TricksAll Blogging Tips