Application Deadline: 03 Jun 2015
OFFICE ATTENDANT (MHUDUMU WA OFISI)
MAJUKUMU YAKE
Kusafisha Office kila siku na kuhakikisha muda wote inakuwa safi.
Kuchukua barua za ofisi kila zinapohitajika
Kusambaza document za ofisi pale anapoagizwa
Kupokea wageni na kuwadirect kwa mtu husika.
Kununua vitu vya stationery kwa ajili ya matumizi ya ofisi
QUALIFICATION:
• Awe amehitimu kidato cha nne
• Awe amesoma vyuo vya Hygiene
• Awe ana uzoefu wa muda mrefu wa kufanya usafi katika kampuni mbalimbali
• Ajue kuongea Kingereza/Kiswahili
Kwa wale wenye sifa na vigezo watume barua za maombi, copy ya vyeti pamoja na Cv kwenye email ifuatayo;
info@tmhstz.com

No comments:
Post a Comment