Barista (2)
Vigezo
Aweze kuandaa aina mbalimbali za kahawa .
Awe na uzoefu katika coffee shop maarufu au hoteli.
Kwa wale wenye uzoefu na ujuzi tuma maombi yako kwenye email:
career@paradise.co.tz au piga simu namba 0653103055 au leta barua yako ya maombi Maktech House, Block H, Mbezi Africana, Bagamoyo Road Dar es salaam.
Ukiona tangazo hili mjulishe na mwenzio mwenye vigezo tajwa.
No comments:
Post a Comment