Make-up artist (2)
Vigezo:
-Uzoefu wa kupaka make up ya kisasa
-Aweze kupaka make up kwa aina zote za ngozi
Kwa wale wenye uzoefu na ujuzi tuma maombi yako kwenye email:
career@paradise.co.tz au piga simu namba 0653103055 au leta barua yako ya maombi Maktech House, Block H, Mbezi Africana, Bagamoyo Road Dar es salaam.
Ukiona tangazo hili mjulishe na mwenzio mwenye vigezo tajwa.
No comments:
Post a Comment