Je wewe ni mbunifu na ungependa kujiunga na Salon yenye hadhi ya kimataifa? Ni Salon & Spa itakayofunguliwa Mbezi Beach hivi karibuni inatafuta wataalamu wafuatao:
Nail Technician (Mtaalamu wa kucha) (2)
Vigezo: ajue:-Classic Manicure na Pedicure
-Spa Manicure na Pedicure
-Kutengeneza aina zote za kucha
Kwa wale wenye uzoefu na ujuzi tuma maombi yako kwenye email:
career@paradise.co.tz au piga simu namba 0653103055 au leta barua yako ya maombi Maktech House, Block H, Mbezi Africana, Bagamoyo Road Dar es salaam.
Ukiona tangazo hili mjulishe na mwenzio mwenye vigezo tajwa.
No comments:
Post a Comment